Mweka Hazina wa Halmasahuri ya Wilaya Chunya ndg. Zephania Mgema aliwasilisha taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa hesabu za Serikali(CAG) katika kikao cha kamati ya Fedha, Uchumi na Mipango kilichofanyika hapa makao makuu ya Halmashauri tar. 19/05/2017 ikielezea juu ya Halmshauri ya Wilaya ya Chunya kupata HATI INAYORIDHISHA kwa ukaguzi wa mwaka 2015/2016.
Aidha Mweka Hazina alichukua fursa hiyo kutoa pongezi kwa Mh.Mwenyekti Wa Halmashauri, Waheshimiwa Madiwani, Wakuu Wa Idara na Vitengo, Watumishi wote na Menejimenti nzima ya Halmashauri kwa ushirikiano wao mkubwa waliouonyesha.
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.