Mkuu wa wilaya ya Chunya Mh. Mayeka Simon Mayeka amewataka wananchi wa wilaya ya Chunya kuendelea kufanya kazi kwa kujituma huku wakichukua tahadhari dhidi ya gonjwa hatari la uviko 19 ikiwa nipamoja na kunawa mikono kwa maji tiririka, kuvaa barakoa na kuepuka misongamon isiyo ya lazima.
Mhe. DC Mayeka ameyasema hayo leo katika mkutano wa hadhara na wanachunya ikiwa ni moja ya ratiba zake za kuendelea kuongea na wanachi kusikiliza kero zao na kuzitafutia utatuzi. Katika ziara hiyo ya kuongea na wananchi aliambatana na wakuu wa Idara na vitengo kutoka ofisi ya Mkurugenzi mtendaji Wilaya ya Chunya.
Taha
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.