Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya chunya Ndugu, Tamim Kambona anapenda kuujulisha umma kuwa Halmashauri imepokea kiasi cha shilingi 1,482,100,000/= kupitia mradi wa kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa shule za awali na Msingi Tanzania (BOOST) ikiwa ni sehemu ya mpango wa lipa kulingana na matokeo
Fedha hizo zitatekeleza miradi ifuatayo:
Ujenzi wa Madarasa mawli (2), Madarasa mawili (2) ya Elimu ya awali ya mfano na ujenzi wa matundu (3) ya vyoo shule ya msingi Bitimanyanga 125,100,000.00
Ujenzi wa shule Mpya ya mikondo miwili(2) shule ya msingi Mafyeko 538,500,000.00
Ujenzi wa shule Mpya ya mikondo miwili (2) Shule ya Msingi Nyerere 538,500,000.00
Ujenzi wa Madarasa mawili (2) na matundu (3) ya vyoo shule ya msingi Isangawana 56,000,000.00
Ujenzi wa Madarasa mawili (2) na matundu matatu (3) ya vyoo shule ya msingi kanoge 56,000,000.00
Ujenzi wa Madarasa mawili (2) na Matundu Matatu (3) Shule ya msingi Mapogoro 56,000,000.00
Ujenzi wa Madarasa mawili (2) na matundu matatu (3) ya vyoo Shule ya msingi Mkola 56,000.000.00
Ujenzi wa Madarasa mawili (2) na matundu Matatu (3) ya Vyoo Shule ya msingi Mpembe 56,000.000.00
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.