Uongozi wa wilaya ya Chunya , Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Chunya na wananchi kwa ujumla wake tunakushukuru sana Mhe Dkt SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna unavyoitazama wilaya ya Chunya, Ahadi yetu kwako ni kuendelea kusimamia miradi yote kama tunavyoelekezwa na wewe pamoja na viongozi wengine wa serikali wanaokusaidia kazi
Tutaendelea kutekeleza ILANI ya chama chini ya Maelekezo ya Chama ili tuendelee kutimiza lengo la serikali ya Jamburi ya Muungano wa Tanzania la kuwahudumia wananchi wake kwa dhati, kwa uwazi na kwa weledi mkubwa
Shule mpya ya Msingi Kipembawe iliyojengwa kwa gharama ya Shilingi milioni mia tano thelasini na nane iliyojengwa kata ya Mafeko wilayani Chunya
Shule mpya ya Msingi Nyerere (Amani) Iliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni mia tano thelasini na Nane imejengwa kata ya Makongolosi Mamlaka ya Mji mdogo Makongolosi Chunya
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.