• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

WATOROSHAJI WA MADINI WAONYWA CHUNYA

Imewekwa: October 28th, 2023

 Waziri  wa Madin wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anthony P. Mavunde ametoa  onyo kwa baadhi ya watu wasio waaminifu  wanaotorosha madin kuacha maramoja tabia hiyo kwani  inachangia upotevu wa mapato katika nchi na kukwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo  ikiwa ni pamoja na miradi ya elimu ,afya  barabara, maji na mingine.


Ametoa onyo hilo  leo tarehe 28/10/2023 kwa nyakati tofauti alipotembelea Soko la kuu la Madini la Halmashauri ya wilaya ya Chunya na Kituo cha Madini Itumbi wakati alipofanya ziara ya kutembelea Mkoa wa kimadini Chunya mapema leo.


“Nitumie fursa kuwataka watanzania wote hasa wale ambao wanaendelea kuijaribu serikali kuacha mara moja biashara hiyo ya utoroshaji wa madini kwani tutachukua hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kusimamisha na kufuta leseni ya biashara ya madini nchi nzima kwa mtu atakayebainika kufanya utoroshaji wa madini lakini pia kufwatilia mnyororo mzima wa watu hao kuanzia chini mbaka juu” alisema Mhe. Mavunde.


Awali akitoa salamu za wananchi wa wilaya ya Chunya Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mayeka S.Mayeka ameipongeza serikali kwa kuweka mazingira mazuri  katika sekta ya Madini ikiwa ni pamoja na masoko ya dhahabu kwani masoko hayo yamesaidia kudhibiti mapato yatokanayo na uchimbaji wa Dhahabu suala linalopelekea Halmashauri kuendelea kuongezekana katika suala la ukusanyaji wa mapato.


Akitoa taarifa ya madini mkoa wa kimadini Chunya Afisa madini mkazi ndugu Sabahi Nyasiri amesema kuwa miongoni mwa changamoto wanazokabiliana nazo ni pamoja na utoroshwaji wa madini unaofanywa na baadhi ya wachimbaji wasio waaminifu  ambapo hivi karibuni wamefanikiwa kukamata  dhahabu kg 6.9 kwa kushirikiana na kikosi kazi pamoja na jeshi la polisi.


“Tumeendelea kufanya ufuatiliaji  wa mara kwa mara  kwa kushirikiana na kikosi kazi   cha kuzuia utoroshaji wa dhahabu pamoja na jeshi la polisi ili kuhakikisha tunawakamata watorashaji wa madini na hivi karibuni tumefanikiwa kukamata dhahabu ya kg 6.9 na hii ilikuwa ni kiu yetu ili kuhakikisha tnamsababishia mtu hasara kutokana utoroshaji wa madini"


Ziara ya waziri wa Madini imekuja ikiwa ni siku chache wilaya ya Chunya Imedhibiti utoshaji wa Madini ambapo imekamata madini kilogramu 6.9 zenye thamani ya zaidi ya zaidi ya shilingi milioni 961,000,000/= ambapo halmashauri ingepoteza zaidi ya Shilingi milioni sitini na nane (68,000,000/=)

 

Waziri wa Madini Mhe Mavunde akisalimia na viongozi mbalimbali wakati alipokuwa anawasili wilayani Chunya Waziri wa Madini Mhe Mavunde akionesha sehemu ya madini yaliyokamatwa yakitoroshwa kutokana wilayani Chunya

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.