• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA CHUNYA TUKO VIZURI .

Imewekwa: April 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mbarak Alhaji Batenga  amemwambia  Mwenyekiti  wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya   kuwa  utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Wilaya ya Chunya unakwenda vizuri huku akitaja baadhi ya maeneo kama ujenzi na usimaz mzuri wa miradi ya maendeleo , ukusanyaji wa mapato ya Serikali pamoja na kutatua kero mbalimbali zzinazowakabili wananchi.

Kauli hiyo  ameitoa April 6, 2024 wakati akitoa salamu za Serikali mbele ya Mwenyekiti wa Chacha Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya wakati wa  kilele cha maadhimisho ya wiki ya Umoja wa wazazi wa jumuiya ya Chama cha Mapinduzi yaliyoadhimishwa kimkoa katika kata ya Sangambi, Halmashauri ya wilaya ya Chunya.

“Nikuhakikishie utekelezaji wa  Ilani ya chama kwa Wilaya ya Chunya tuzo vizuri sana hapa walikuwa wanazungumza juu ya kituo cha afya cha Sangambi naomba nikuhakikishie kwamba kituo hiki tunakijenga kwa kutumia mapato ya ndani  lakini pia kwa upande  wa ukusanyaji wa mapato ya serikali kwasasa  hivi Wilaya ya Chunya ndio tunaongoza kwa ukusanyaji wa mapoato kwa  Mkoa wa Mbeya hii ni kutokana na jinsi ambavyo tumejipanga kuitekeleza Ilani” alisema Mhe.Batenga

Akizungumza na hadhara iliyokusanyika katika shrehe hizo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya ndugu Patrick Mwalunenge  aliyekuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ameitaka jamii kuwalea watoto katika maadili mazuri ili wawe waadilifu katika maisha yao ya baadaye huku akionya malezi mabaya yanayotolewa na wazazi na walezi kwa watoto wao.

“Leo niwaambie wanasangambi tatizo la mmomonyoko wa maadili ni kubwa sana  tumeona kila siku Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan akitumia gharama kubwa sana kuwabadilisha vviongozi katika nafasi zao  kutokana  na ubadhilifu na udanganyifu katika  mali za umma hayo yote yanatoka kwetu sisi kutokana na malezi kwasababu wale ni watoto ambao tumewalea sisi wenyenyewe”.    Alisema Mwalunenge.

Naye Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi   wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya ndugu Jmames Mwampondele  amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo kama jumuiya ya wazazi ni kuhakikisha wanasimamia maadili, malezi , Mazingira pamoja na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukatili wa Kijinsia kwa kutoa elimu kwa wanajamii na wana CCM ili kutengeneza jamii bora.

Maadhimisho hayo yameadhimishwa  Aprili 6, yakiongozwa na  na kauli mbiu isemayo Ushindi wa CCM 2024-2025 Umoja wa Wazazi Tupo mstari wa Mbele yameenda sambamba na  utoaji wa elimu mbalimbali kuhusu mmomonyoko wa maadili kutoka kwa wadau na taasisi mbalimbali, na  yamehudhuriwa na viongozi wa chama cha Mapinduzi kuanzia ngazi ya Mkoa hadi ngazi ya jijiji, wanachama wa Chama cha Mapinduzi pamoja na viongozi wa Serikali kutoka ngazi Mbalimbali za uongozi.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ndugu Patrick Mwalunenge mgeni rasmi   akizungumza mambo mbalimbali ya juu ya utekelezaji wa ilani pamoja na masuala ya mmomonyoko wa maadili katika jamii wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya  Umoja wa wazazi Jumuiya  CCM yaliyoadhimishwa katika kata ya Sangambi Wilayani Chunya.

Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliojitokeza katika sherehe za kilele cha wiki ya  Maadhimisho ya  Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM yaliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Chunya kata ya Sangamgi 

Mgeni rasmi ndugu Patrick Mwalunenge Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya akiserebuka pamoja bandi ya Yangagilashila  wakati wa sherehe za kilele cha wiki ya maadhimisho ya Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM yaliyofanyika katika kata ya Sangambi Wilaya ya Chunya





Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.