• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

TUKISHIRIKIANA TUTABORESHA HAKI JINAI CHUNYA

Imewekwa: January 27th, 2024

Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Chunya Mhe James Mhanusi amewataka wananchi wa Wilaya ya Chunya na Tanzania kwa ujumla kuhakikisha wanashirikiana na Mhakama ili kuhakikisha haki ya mtu yeyote inapatikana kwa wakati ili  kujenga  jamii bora yenye kujaliana na hatimaye kuendelea kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja na  Taifa kwa ujumla

Ametoa kauli hiyo leo tarehe 27/1/2023 alipoongozo timu ya wataalamu wa sheria walipokuwa wanatoa elimu ya sheria katika kata ya Lupa ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa Elimu sharia katika wiki ya Sheria ambayo ilianza rasmi tarehe 24/1/2024 na itatamatika tarehe 1/2/2024

“Tukishirkiana kwa pamoja tunaweza kuboresha haki jinai lakini mkituachia mahakama peke yake inapelekea kesi nyingine kufutwa kwakuwa tunakosa ushahidi hivyo jamii ya wanachunya na watanzania kwa ujumla tushirikiane, mje mtoe ushahidi pale panapobidi na kwakufanya hivyo tutakuwa tunaboresha upatikanaji wa haki”

Aidha Mhe Mhanusi amesema Mahakama sasa inatumia digitali katika hatua mbalimbali za uendeshaji wa Mashauri na uboreshaji huo umesaidia kuokoa muda wa mteja, kupunguza gharama za uendeshaji wa kesi kwa mteja lakini pia imepunguza umbali wa mwananchi kufuata huduma ya Mhakama kwani mwananchi anaweza kupata huduma za mahakama akiwa maeneo anayoishi

“Kwasasa mahakama inafanya shughuli zake kwa njia ya mtandao hivyo kupitia mtandao mnaweza kupata huduma mbalimbali za mahakama hata bila wewe kufika mahakamani hivyo kupitia njia hiyo tunaokoa muda wenu, fedha na hata kurahisisha upatikanaji wa huduma za kimahakama” Amesema Mhe Mhanusi

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kupata Elimu ya Sheria wameshukuru sana wiki ya Sheria kufunguliwa rasmi kata ya Lupa kwani kupitia wiki hiyo elimu ya sheria imetolewa huku sula la Mirathi, migororo ya ardhi ikiwa na nafasi kubwa katika maswali ya wananchi hao

Maadhimisho ya wiki ya sheria huadhimishwa kila mwaka nchini Tanzania ambapo kwa mwaka huu Mahakama wilayani Chunya imezinduliwa rasmi leo tarehe 27/1/2024 kwa wananchi wa kata ya Lupa na kupatiwa  Elimu juu ya mausuala ya Mahakama na Sheria kwa ujumla, wakati taehe 29/1/2024 timu ya uelimishaji itakuwa Shule ya Sekondari Itewe na baadaye Hillland,Tarehe 30/1/2024 itakuwa zamu ya Kiwanja na Isenyela Sekondari, tarehe 31/1/2024 itakuwa ni zamu ya Gereza la Chunya na Shule ya Sekondari Chokaa.

Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Chunya Mhe James Mhanusi akiwa anawasilisha mada wakati wa ufunguzi wa wiki ya Sheria ambapo wilaya ya Chunya wamefanya ufunguzi rasmi leo katika kata ya Lupa

Moja ya watoa mada wakati wa ufunguzi rasmi wa wiki ya Sheria wakati akiwasilisha mada kwa wananachi waliojitokezo viwanja vya ofisi ya kijiji cha Ifuma, kata ya Lupa mapema leo

Afisa tarafa wa Tarafa ya Kipembawe ndugu Kassim Salum Kirondomara akizungumza jambo wakati wa ufunguzi rasmi wa wiki ya Sheria Mapema leo

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.