• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

SIRI YA CHUNYA KUONGOZA KATIKA MASHINDANO YA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA MKOA WA MBEYA.

Imewekwa: May 16th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imeibuka mshindi  katika mashindano  ya Afya na Usafi wa mazingira ambayo huratibiwa na Wizara ya Afya ambayo yamekuwa  yakifanyika kila mwaka nchi nzima  katika mashindano yaliyofanyika Julai  2023 Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imeshika  nafasi ya kwanza kimkoa kati ya  Halmashauri za Wilaya 6  zinazopatikana katika Mkoa wa Mbeya

Takwimu hizo zinathibitishwa na ripoti ya  matokeo  ya Mashindano ya Afya na usafi wa mazingira  mwaka 2023 yaliyotolewa na Wizara ya  Afya  ambapo zoezi hilo lilifanyika Halmashauri ya wilaya ya Chunya imeshika nafasi ya 22 kati ya Halmashauri 137 zilizoshiriki wakati katika Halmashauri za Mkoa wa Mbeya Chunya Ndio Kinara kwa kushika nafasi ya kwanza, huku Kijiji cha Chunya Mjini kikishika nafasi ya 14 katika ya vijiji 274 viilivyoshiriki na kwenye Mkoa wa Mbeya Kijiji cha Chunya mjini Kimeshika nafasi ya kwanza kwa vijiji vyote vilivyoshiriki. 

Afisa  Afya wilaya ya Chunya ndugu Baraka Kipesha akiweka bayana  baadhi ya  mambo ambayo yamesababisha Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kuibuka mshindi ikiwa  ni pamoja na  Ushirikiano na kujituma katika kazi lakini pia ufuatiliaji unaofanyika mara kwa mara na uhamasishaji juu ya usafi wa mazingira katika ngazi ya kaya hadi kijiji

“Tumekuwa tukifanya ufuatiliaji na kuhamasisha  juu ya usafi wa mazingira  mara kwa mara  katika maeneo mbalimbali ya  vijiji na kaya katika Halmashauri yetu ili kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama kwa Afya ya Wananchunya  na kuhakikisha  tunaendelea kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya Afya na usafi wa mazingira kwani lengo letu ni kuwa nafasi ya kwanza kitaifa”  alisema Kipesha

Aidha agenda ya  usafi wa mazingira imekuwa ni agenda ya kudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ili kuhakikisha jamii  inaishi katika mazingira safi na salama pamoja na kujikinga na Magonjwa ya mlipuko ambayo husababishwa na uchafu wa mazingira  ambapo katika  ngazi za vijiji kumekuwa na sheria ndogo  zinazotumika katika kusimamia usafi wa mazingira katika jamii.

Katika taasisi mbalimbali kama Shule kumekuwa na klabu za Usafi wa mazingira (School water sanitation and hygiene club)  ambazo zimekuwa  na jukuma la kuhamashisha  wanafunzi wenzao kuzingatia usafi wanapokuwa shuleni na majumbani kwao ili kuweza kujiepusha  na magonjwa ya mlipuko

Mashindano ya Afya na usafi wa mazingira ambayo hufanyika kila mwaka  hujumuisisha maeneo mbalimbali  ikiwa ni pamoja na  Taasisi mbalimbali kama Hospitali , Kanisa , Mahakama Shule na maeneo mengine lakini pia kaya mbalimbali ambapo maeneo mbalimali hukaguliwa kulingana na vigezo vilivyoainishwa katika mwongozo ambapo kijiji cha Chunya mjini kimeibuka  na Ushindi kwa kupata alama 179 kati ya alama 193 ambazo ni sawa na  asilimia 93.

Ukitaka kuona taarifa kwa Undani  Bonyeza link ifuatayo https://chunyadc.go.tz/announcement/matokeo-ya-mashindano-ya-afya-na-usafi-wa-mazingira-kitaifa-chunya-yafanya-vizuri

 

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.