• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA TSH.1.6 WILAYA YA CHUNYA

Imewekwa: September 9th, 2022

Mwenge wa uhuru umezindua, umetembelea na kuweka mawe ya msingi katika miradi sita ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.6 wilayani chunya.

Akizungumza katika maeneo ya miradi, Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ndugu Sahili Nyanzabara amewataka wataalam wa ujenzi kufuata miongozo iliyowekwa na wizara wakati wa utekelezaji wa shughuli za ujenzi wa miradi ili kuepuka kufanya kazi chini ya kiwango ama kinyume na miongozo hiyo

Nyanzabara amesema kutofuata maelekezo yaliyotolewa katika miongozo ni jambo ambalo halipaswi kuendelea kutokea, watalamu na watendaji wetu hakikisheni mnafuata taratibu na Miongozo iliyotolewa.

Miradi iliyopitiwa na Mwenge wa uhuru mwaka 2022 katika wilaya ya chunya  ni Ujenzi wa zahanati ya Ituma, Ujenzi wa madarasa mawili na Ofisi shule ya Sekondari Isenyela , Mradi wa maji Sangambi, Kikundi cha Vijana cha Sabasaba, Ujenzi wa daraja la Nselewe Kata ya Chokaa pamoja na Ujenzi wa kiwanda cha Kuchakata dhahabu,

Kwaupande wa  mkuu wa Wilaya ya Mh. Mayeka S. Mayeka amesema amepokea maelekezo yote yaliyotolewa na kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa na kumshukuru kwa kukubali kuizindua miradi ,

Aidha Mayeka ameahidi kuyafanyia kazi mara moja maelekezo yote yaliyotolewa na Kiongozi huyo wa Mwenge wa Uhuru.

Mhe Mayeka amemshukuru Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi za miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa wilayani humo, ili kuwaletea maendeleo wananchi.

Naye Mbunge wa jimbo la Lupa Mhe. Masache Kasaka amewapongeza wataalam kwa kazi nzuri wanayofanya katika kutekeleza miradi na kusisitiza matumizi mazuri ya rasilimali fedha zinazolewa na Serikali kwa manufaa ya umma.

Nyanzabara ametumia fursa hiyo kukemea vitendo vya rushwa,ameawakumbusha wananchi kuzingatia mlo kamili,kujikinga na malaria na kukemea vikali matumizi ya dawa za kulevya.

“ Mama zangu mliyopewa vyandarua hakikisheni mnavitumia vyandarua hivyo kulingana na maelekezo  mliyopewa na wataalamu  tumieni kwa usahihi, wapo wengine wanapewa vyandarua wanaenda kufunikia vifaranga, bustani na hata kuvulia samaki hayo sio matumizi sahihi ya vyandarua” Nyanzabara

Pia amewapongeza  wananchi wa wilaya ya chunya kwa uzalendo wao na kujitoa katika kushiriki kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya halmashauri.

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

Ndugu Sahili Nyanzabara wa katikati kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa akiwa na Mkuu wa wilaya ya Chunya Mh. Mayeka Mayeka upande wa kushoto sambamba na Mkurrugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Chunya Ndugu Tamim Kambona upande wa kulia katika moja ya mradi uliyozinduliwa na mwenge wa Uhuru.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Ndugu Tamim Kambona wakwanza kulia akitoa maelezo kwa kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa Ndugu Sahili Nyanzabara katika moja ya Mradi uliyotembelewa na mwenge wa uhuru

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.