• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

DC MAYEKA HAKIKISHENI ZAHANATI ZOTE ZINAKAGULIWA

Imewekwa: September 7th, 2023

.

Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe. Mayeka S. Mayeka ameitaka Divisheni ya Afya kufanya Ukaguzi wa mazingira ya nje na ndani katika zahanati zote zilizopo wilaya ya Chunya na kuhakikisha zinakuwa safi.

 Ameitoa kauli hiyo jana tarehe 6 September 2023, wakati alipotembelea zahanati za Igundu na Godima, ambapo amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt. Darson Andrew kuhakkikisha anatembelea Zahanati zote za Wilaya Ya Chunya kukagua hali ya usafi wa Mazingira ya nje na ndani lakikini pia kuhakikisha taratibu mbalimbali zinazotakiwa kufuatwa zinazingatiwa ikiwa ni pamoja na utunzaji mzuri wa kumbukumbu za dawa zinazoingia na kutoka

‘’Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO)  hakikisheni mnatembelea zahanati zote zilizopo wilaya ya Chunya na kukagua usafi wa mazingira ya  nje na ndani lakini pia kuona kama taratibu na Miongozo mbalimbali inafuatwa na kuzingatiwa kulingana na taratibu zenu “ alisema Mhe. Mayeka

Mhe Mayeka pia amewataka wafanyakazi katika zahanati hizo kuhakikisha wanazingatia  taratibu za kazi  ikiwa ni pamoja na utunzaji wa kumbukumbu na  kuhakikisha mazingira wanayofanya kazi yanakuwa katika hali ya Usafi kwaajili ya usalama wao na wagonjwa wanaokwenda kupata huduma katika zahanati hizo.

Kwaniaba ya Divisheni ya Afya ndugu Edward Tengulaga ambaye ni Mfamasia wa wilaya ya Chunya amesema wamepokea maagizo hayo na kuahidi kuyafanyia kazi kwa kuhakikisha wanatembelea mara kwa mara zahanati kukagua kuhimiza suala la usafi wa mazingira pamoja na kufwatilia kuona kama taratibu zinafwatwa na kuzingatiwa  

Mmmoja wa wagonjwa aliekuwa amefika katika Zahanati ya Godima kwaajili ya kupata Huduma  ya matibabu ndugu Ester Razaro amesema  kuwa anafurahishwa na hali ya usafi wa mazingira katika Zahanati hiyo pamoja na Huduma  nzuri zinazotolewa  .

Pamoja na  Ukaguzi huo Mhe Mayeka amempongeza ndugu Orida Kassian Mtabibu wa zahanati ya Godima kwa  Utunzaji Mzuri wa Kumbukumbu na kufuata Miongozo pamoja na Taratibu zilizowekwa, aidha amemtaka aendelee kufanya kazi kwa bidii na ufanisi zaidi na kuhakkikisha wanaendelea kutoa Huduma bora kwa wagojwa wanaofika zahanati hiyo kwaajili ya kupata huduma .

 

Ndugu Agrey Mroso Mtabibu wa Zahanati ya Igundu akimuonyesha jambo Mkuuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mayeka wakati alipotembelea Zahanati hiyo

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.