• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

DAS CHUNYA AWATAKA MAAFISA MIFUGO KUFANYA KAZI KWA UFANISI .

Imewekwa: December 15th, 2023

Katibu tawala Wilaya ya Chunya ndugu Anakleth Michombero amewataka maafisa mifugo kufanya kazi zao kwa ufanisi zaidi na kuwafikia wafugaji wengi kwa wakati ili kuhakikisha lengo la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuwahudumia wananchi wote wakiwepo wafugaji linatimia ipasavyo

 

Amesema hayo alipokuwa akikabidhi pikipiki kwa maafisa mifugo kutoka katika kata 6 za Halmashauri ya Wilaya ya Chunya  ambapo zoezi la kukabidhi pikipiki hizo lilifanyika katika Jengo la jipya la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Chunya.

“Usafiri huu ukawe chachu ya kuleta  mabadiliko katika utendaji kazi wenu, tuone kabla hamjawa na vyombo vya usafiri na baada ya kuwa na vyombo vya usafiri utendaji wenu uwe na mabadiriko, tunatarajia kuwepo kwa mabadiliko makubwa ya kuwafikia na kuwapa huduma wafugaji wote” alisema Michombero

Aidha amewataka maafisa Mifugo hao kuhakikisha vitendea kazi hivyo vinatumika kwa manufaa ya serikali ili kuwahudumia wananchi katika maeneo yao huku akiwakumbusha kuzingatia usalama wao wakiwa wanaendesha pikipiki hizo kwani wakienda kinyume vitendea kazi hivyo vinaweza kusababisha ulemavu na wakati mwingine hata kugharimu maisha

 “Vyombo hivi makavitumie vizuri mkivitumia vibaya  vinaweza vikawasababishia ulemavu lakini pia mkavitumie kwa matumizi ya serikali na kwa matumizi mengineyo” alisema Michombero

Awali akisomaa taarifa fupi kwa katibu tawala, Mkuu wa idara ya kilimo na mifugo ndugu Cuthbert Mwinuka  amemshukuru mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwawezesha maafisa mifugo ili kuwarahisishia kuwafikia wananchi (wafugaji) katika maeneo yao

Wakizungumza kwa niaba ya Maafisa mifigo wengine Bi Witness Judika wa kata ya Mamba na Godfrey Katamba wa kata ya Kambikatoto wamemshukuru Rais na serikali kwa ujumla kwa kuwapa vyombo vya usafiri (Pikipiki) kwani vitaongeza ufanisi  na kurahisisha utendaji kazi wao lakini pia vitawasaidia kuwafikia wafugaji wengi kwa wakati tofauti ilivyokuwa awali walipokuwa hawana vyombo vya usafiri.

 Hii ni awamu ya pili ya ugawaji wa pikipiki kwa maafisa Mifugo  ambapo awali ziligawiwa pikipiki 2 kwa kata ya Chokaa na kata ya Kasanga na awamu  ya pili zimegawiwa pikipiki 6 katika kata ya Mamba, Kambikatoto, Mafyeko, Lualaje, Nkung’ungu, na Sangambi na kufanya jumla ya pikipiki 8 .

Vitendea kazi (pikipiki) vikiwa vimepaki kwaajili ya kukabidhiwa  kwa Maafisa mifugo kutoka katika kata 6 za halmashURI ya Wilaya ya Chunya


Maafisa Mifugo wakiwa na vitendea kazi (pikipiki) walivyakabidhiwa  kwaajili ya kuvitumia katika kutekeleza majukumu ya serikali


Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.