Mwenyekiti wa Umoja wa vijana chama cha mapinduzi NDG KHERI D.JAMES alitembelea wilaya ya chunya katika ziara zake za kikazi Mkoani Mbeya.
Katika ziara hiyo wilayani Chunya, alipata nafasi ya kuongea na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya ambao ni wakuu wa Idara naVitengo,
TAKUKURU Pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya
Katika kikao chake hicho, alitoa elimu juu ya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uhusiano ulipo baina ya chama tawala na serikali.
Katika hili alieleza kuwa Chama na serikali zinakuwa na mahusaino katika Nyanja zifuatazo:-
Pia mheshimiwa mwenyekiti hakuacha kuwahusia watumishi wa umma kuwa na mahusiano mazuri sehemu za kazi na nje ya sehemu za kazi kwani ni nguzo muhimu katika ujenzi wa Taifa letu
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.