Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imetangaza Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Shule za Sekondari mwaka 2025 kwa wamu ya kwanza huku Halmashauri ya wilaya ya Chunya kwa awamu hii ya kwanza imepangiwa zaidi ya wanafunzi 900 katika Shuke zake.
Kwa Taarifa zaidi bonyeza Kiunganishi hiki hapa Chini;
https://selection.tamisemi.go.tz/allocations/2024/first-selection/mbeya/chunya%20dc/index.html
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.