• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

Ubalozi wa Finlanda na UNICEF wafanya Ziara Wilayani Chunya

Imewekwa: September 22nd, 2022

Wawakilishi Toka Ubalozi wa Finland Tanzania na UNICEF Jana tarehe 21.09.2022 wamefanya ziara katika kitongoji cha mkola,kata ya mkola wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya kwa lengo la kushuhudia shughuli za Utoaji wa Chanjo kwa watoto wenye umri chini ya miaka Mitano, ikiwa ni pamoja na utoaji wa chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Uviko 19.

Ubalozi wa Finland Tanzania uliwakilishwa na Miss. Maiju Palosaari wakati UNICEF iliwakilishwa na Makamu mwakilishi nchini Bw. Osmne Niang wakiongozwa na Viongozi toka Mkoani na wilayani.

UNICEF na Ubalozi wa Finland wamekuwa wadau wa kubwa ndani ya wilaya ya chunya kwa kutoa ufadhili wa chanjo mbalimbali.

Akizingumza wakati wa kutambulisha ugeni huo Mganga mkuu wa wilaya ya Chunya Dr. Darison Andrew alisema ubalozi wa Finland umekuwa unatoa ufadhili wa chanjo hasa ya Uviko19

Dr. Darison amesema UNICEF wamekuwa wakitoa ufadhili wa chanjo zote za watoto wenye umri chini ya miaka mitano, pia UNICEF wanaisaidia serikali kuboresha miundombinu katika hospitali ya wilaya ya Chunya, sambamba na ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha afya Lupa.

Kwaupande wa mwakilishi kutoka Ubalozi wa Finland Tanzanania alisema anayofuraha kufika katika kitongoji cha mkola na kujifunza jinsi gani serikali na jamii wameweza kuongeza utumiaji wa chanjo ya Uviko.

 “Nimuhimu sana chanjo ya Uviko iwafikie wananchi na tunashukuru sana kwa ushirikiano tunaoupata kupitia UNICEF na Serikali” Miss Maiju Palosaari

Kazi zinazofanywa na Ubalozi wa Finland inaanzia ngazi ya kitaifa mpaka katika ngazi ya jamii na ndio maana leo tupo hapa mkola alisema Palosaari.

Aidha Makamu mwakilishi wa UNICEF Tanzania Bw. Osmane Niang amewapongeza wananchi wa Mkola kwa jitihada zao za kuakikisha watoto wanapata haki zao za msingi

“Nikiangalia watoto waliopo hapa inaonyesha jinsi gani mnavyo wahudumia vizuri hasa katika upande wa huduma zakiafya, wanaonekana wanaafya Njema” alisema Niang.

Mwakilishi toka Ubalozi wa Finland Tanzania Miss. Maiju Palosaari akizungumza na Wananchi wa kitongoji cha Mkola waliojitokeza katika siku ya Chanjo kwa Watoto, mama wajawazito na chanjo kwa watu wazima.

Wananchi wa kitongoji cha Mkola waliojitokeza katika Siku ya Chanjo iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Kitongoji.

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • TARAFA YA KIPEMBAWE CHUNYA YAJIDHATITI KUWATUMIKIA WANANCHI.

    March 21, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.