• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

TENGENI MAENEO YA KUJENGA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA VIJIJI NA KATA

Imewekwa: January 11th, 2024

Kamati ya fedha, Uchumi na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Chunya ikiongozwa na Makamu mwenyekiyi wa Halmashauri imeagiza viongzoi wa vijiji na kata zote kutenga maeneo ya kujenga miundombinu ya maendeleo katika vijiji na kata zao ili kuepuka kutumia fedha za mradi kulipa fidia pindi mradi utakapoanza kujengwa

Hayo yametolewa leo tarehe 11/1/2024 wakati kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari ya kata ya Kambikatoto ambayo tayari imeshanaza kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza ambapo wanafunzi 88 wamepangwa kuripoti katika shule hiyo kwa mwaka wa masomo 2024

Akitoa maoni wakati wa ziara hiyo makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Mhe Ramadhani Shumbi amesema haiwezekani kutumia fedha zilizotengwa kwaajili ya mradi Fulani kuanza kutumika kulipa fidia watu wenye maeneo wakati serikali ina maeneo makubwa kuliko wananchi wakawaida

“Haiwezekani milioni tatu na laki tatu kutumika kuwalipa fidia wananchi ili kupisha eneo la kujenga shule maeneo ya vijijini kama Kambikatoto kwani fedha hizo zingetumika kwaajili ya kuendeleza mambo mengine ambayo ni muhimu sasa ni lazima viongozi wa vijiji na kata kutenga  maeneo yatakayotumika kujenga miradi ya maendeleo hii ya kulipa fidia haitakiwi kuwepo kwa maeneo kama haya ya wilaya yetu” Alisema Mhe Shumbi

Mhe Sailon Mbalawata diwani wa kata ya Bwawani na mjumbe wa kamati hiyo ameshauri viongozi wa kata kuhakikisha eneo la shule lenye ukubwa wa hekari 21.5 linahifadhi vizuri kwa kuhakikisha hati zake zinapatika kwa wakati kwani kuchelewa kufanya hivyo inaweza kuleta usumbufu usio wa lazima hapo baadaye

Aidha wajumbe wa kamati wameshauri viongozi wa kata hiyo kuongeza juhdi  kuhakikisha wanafunzi wote waliopangwa kuripoti  shule wanaripoti haraka iwezekanavyo hadi kufikia tarehe 25/1/2024 wanafunzi wote wawe wemeripoti tayari kuanza muhula wa masomo kama serikali inavyotaka

Kamati ya Fedha, uchumi na Mipango iko katika siku  ya kwanza ya ziara yake na imetembelea na kukagua miradi yenye thamani ya shilingi 697,180,000/= ambayo ni pamoja na Mradi wa ujenzi wa Shule ya sekondari kambikatoto iliyopewa shilingi milioni mia tano na themanini na tatu (583, 180,000/=), mradi wa ukamilishaji wa madarasa mawili na  matundu sita ya vyoo shule ya sekondari Bitimanyanga ambayo ilipewa shilingi milioni thelasini na moja (31,000,000/=) pamoja na mradi wa Ujenzi wa Shule shikizi ya msingi Tulieni iliyopewa shilingi milioni themanini na tatu (83,000,000/=)

Kamati ya Fedha, Uchumi na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Chunya ikipokea Taarifa kutoka kwa uongozi wa kata kuhusu maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya sekondari Kambikatoto ilipofanya ziara yake ya kawaida kukagua miradi mapema tarehe 11/1/2024

Wajumbe wa Kamati ya fedha, uchumi na Mipango wakijadili jambo baada ya kukagua ujenzi wa vyoo katika mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Kambikatoto

Jengo la utawala Shule ya sekondari Kambikatoto pamoja na baadhi ya majengo ya madarasa yanayoendelea kujengwa katika shule hiyo

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • TARAFA YA KIPEMBAWE CHUNYA YAJIDHATITI KUWATUMIKIA WANANCHI.

    March 21, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.