Kama ilivyo kawaida ya kufanya usafi Jumamosi ya mwisho ya kila mwezi, watumishi wote wa makao makuu Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mnakumbushwa kuhudhuria katika zoezi la usafi kesho siku ya Jumamosi 24/11/2018.
Wakuu wa Idara mtafanya Hosipitali ya wilaya na watumishi wengine watafanya maeneo ya Makaburini.
WOTE MNATAKIWA KUHUDHURIA.
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.