Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Ndugu: Tamim Kambona akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Chunya kwa kipindi cha Miaka Mitatu (3) wakati wa Mkutano wa Waandishi wa Habari kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya
Kutazama Video ya Uwasilishaji wa Taarifa hiyo Bofya Link Hapa Chini
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.