Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Ndugu Tamim H Kambona anakualika kusoma Jarida a Mtandaoni linalohusu Taarifa Mbalimbali za wilaya ya Chunya katika Robo ya Nne ya mwaka wa fedha 2023/2024 unaotamatika tarehe 30 Juni, 2024
Katika Jarida hilo utajionea Shughuli mbalimbali zilizofanyika katika wilaya ya Chunya Pamoja na mabadiriko makubwa yanayoendelea kujitokeza Katika Halmashauri ya wilaya ya Chunya na matarajio katika Mwaka mpya wa Fedha 2025/2026
Wananchi wa Chunya endeleeni kuiamini Serikali yenu, Mambo makubwa na Mazuri yanaendelea kufanyika Chunya.
Kupata Jarida hilo boneza linki ifuatayo;
https://chunyadc.go.tz/storage/app/uploads/public/667/ea6/9bd/667ea69bd959c957219857.pdf
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.