Chuo cha Veta Chunya tayari kimeanza kutoa kozi mbalimbali ili kuwarahisishia wananchi wa wilaya ya Chunya kupata huduma hiyo mbali au nje ya wilaya ya Chunya. Kwa kuanza kutoa huduma hiyo Chunya itaendelea kunufaika kwanza kupata watu toka maeneo mbalimbali (Watumishi, wanafunzi na wananchi wengine) kuja kupata huduma au kutoa huduma maeneo hayo
Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi wake inaendelea kutimia ndani ya wilaya ya Chunya
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.