Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mh. Rehema Madusa anawakarikibisha Wananchi wote kuja kuwasilisha kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makala siku ya Jumanne Tar 10/4/2018.
kwa maelezo zaidi bonyeza hapa: MKUU WA WILAYA.pdf
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.